Listen/Download Navumilia By Rich Mavoko Mp3
Baada ya kutoka nje ya Label ya WCB huku kukiwa na maneno toka kwa Manager wake kwamba bado yupo kwenye label na mkataba unaonyesha,Right now Rich Mavoko ameachia nyimbo mpya Navumilia kama solo.Unaweza ukaisikiliza na ku download hapo chini.Enjoy
EmoticonEmoticon