Watch Barbie Dreams Video By Nicki Minaj
Barbie Dreams ni moja kati ya ngoma iliyofanya vizuri sana baada ya Chun-Li ambazo zote zinapatikana katika Album ya Queen ya Nicki Minaj ambayo mauzo yake kwa week ya kwanza yaliiwezesha album hiyo kukamata nafasi ya Pili Billboard 200 ilipotoka.
Itazame video ya Barbie Dreams hapo chini.Enjoy
EmoticonEmoticon