Listen/Download Aibu By Nandy Mp3
Nyimbo mpya ya Aibu toka kwa mwanadada Nandy,na hii ni baada ya Ninogeshe ambayo ilifanya vizuri sana.Nyimbo imeandikwa ndani ya THT na imepita kwenye mikono ya Producer Kimambo.Isikilize na ku download hapo chini.Enjoy
EmoticonEmoticon